Wadau wamaendeleo nchini wametakiwa kufanyakazi kwa kuwagusa wananchi ili kuleta ufanisi wanapo tekeleza majukumu yao ili kufikia malengo.
Read
more
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anazindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO 19, leo Oktoba 10, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini kuongeza uwazi na uwajibikaji katika kazi zao pamoja na kwenda sambamba na vipaumbele na mipango ya Serikali ili ziweze kuleta tija kat...
Read
more